@AmRosalinee Mitaa ya sahara iyo ukiwa unatokea tanesco, sema kuna vichochoro vigumu sana apo⚠️⚠️ kama hujazoea kuishi milimani unaweza usitoboe "kama ukiteleza kidogo tu ndio inakua gudubayiiii"😁😁😁
@Narrowbeeflying Yes,
Nilishawai ibiwa simu 1 mara 2 na ikapatikana, niliibiwa mwaka 2024 july ikapatikana November na nikaja ibiwa September 2025 ikaja patikana after 5 days.