@kigogo2014@Nnauye_Nape Wananchi wa uchumi wa Kati hutujui dada angu @kigogo20I4 Sisi ndo wenzio to hiyo mibendera ya Kenya ππ hiyo ni Biashara kuwa hina mapenzi kabisaaa na Tanzania that's why unatuombea kusiwe na Amani kipindi Cha uchaguzi
@ShedrackRicha13@DanielAlphonc15@kigogo2014 Kitu usicho kijua ni kwamba wale wasanii wanajitolea tu kwa CCM Chama lao yaani ni wanachama wameamua kutoa mchango wao .... Chukua hiyo So kutwambia tufanye bila yao means tufukuze wanachama wetu. Never
@Harunaalibin Wewe huwezi pata Sura Nzuri Kama hiyo weka picha upo kwenye vazi jengine ππππ ma parody mnaongoza kuwa na nyuso za watu maalum