@MwitaJulius2000@SuluhuSamia@TZMsemajiMkuu@MsigwaGerson Ulimsikia alichokisema au ndo kukurupuka? Mama alisema vi-tv vya mkononi ndo vifunguliwe na wote tulimsikia akisema hivyo ila Dr. Kasema kama kuna maelekezo zaidi wapo tayari kuyatekeleza. Mtu mzima kuropoka unajishushia heshima, punguza MIHEMKO!
@comanchechiefIV@BabaMwita@SuluhuSamia Jaribu kushauri kwa staha utaeleweka.
Sherehe si lazima ukagonge mafataki na kupiga kelele kama wendawazimu barabarani! Sherehekea kwako kistaarabu na familia yako nenda kanisani hujazuiliwa. Kilichozuiliwa ni kelele zisizo na msingi ilhali Taifa lina majonzi
@kigogo2014 Jeshi halijazuia watu kusherehekea pasaka, kilichozuiliwa ni;
-Kupiga mafataki
-Kumwagiana pombe barabarani
- Disko toto
- Disko la wakubwa
Sherehekea kistaarabu na familia yako nyumbani nenda kanisani kwa imani yako wala hakuna wa kukubughudhi...
@ChademaTz Kule 90% ni CCM kwaiyo si vzr kupoteza rasilimali pesa na rasilimali muda....fanyeni mambo mengine ikiwezekana badilili CHAMA kiwe BENKI ya kutolea mikopo!
@amdully@MussaSaidMussa@kigogo2014 Sasa ndg unapanic nini, hiyo post kampostia nani?
Hili ni eneo huru mbona huyo bosi wako anaingilia post za wengine na hadi anaishia kutukana.
@zittokabwe@SuluhuSamia Labda tuchague moja kati ya mawili ila kwenda na mawili haiwezekani maana tulisha jaribu ikashindika.
1. SIASA za maneno. (demokrasia)
2. SIASA za vitendo. (Magufuli style)
Binafsi bila kumng'unya maneno mi naona no.2 watu wameielewa zaidi...
@kigogo2014@saligongo Kundu lako, hilo swali unamuuliza nani, unajiona mjanja kujificha nyuma ya keyboard? Msenge wewe unajiona Mungu mtu kwamba wewe ndo unawapangia watu vifo na kuwatukana watu waliotangulia mbele za haki?
@CShibitali@MwananchiNews We imekuuma nini, kwamba hujaamini au? Waziri mkuu alikuwa sawa, neno walifuatilia lina upana wake;
- wapo waliofuatilia kupitia;
- computer
- smartphone
- television
- radio
- magazine
- umbea mtaani
Hii ni kuanzia zile taarifa za awali mpk jana.
@HecheJohn@yerickonyerereT Ulikuwepo bungeni ulishindwa nini kuipigania ili iondolewe? Bahati nzuri mmemsikia MAMA alichomaanisha, sasa nyie mchokonoe! Hatutaki kusikia mtu anasema ameonewa. Mheshimu atawaheshimu...sheria hata iwe mbovu vipi kama inafanya kazi inatakiwa iheshimiwe.
@PKarugendo@HecheJohn Mzee baba kama yapo kwenye ILANI utayapata ila kama hayamo mwache atekeleze ILANI maana ndicho kilichopo mezani kwake. Au mzee baba unajua hiyo ni serikali mpya na ILANI mpya?