Women don't wait, they rotate.
Your value isn't fixed -its built
Friends change when your. standards rise.
Emotions lie, discpline doesn't
Nobody's coming to save you
Life punishes softness
Time is your real currency
Comfort is a trap.
CT @swahili_pips
Waalimu waliokuwa wanatufundisha ss ni form 4 waliofeli sa jiulize àliyefel anawezaje kukufany uwe Bora mwLim anakuja na mfano mmja tu ndo Kaushik kichwan anaufundsha huohuo mia zaid ya m4
Kama unapitia mafunzo wanayotoa madogo kwenye page ya “UNI COLLEGE SHOW” unakuja kugundua madogo wa sikuizi wanaakili kubwa sana kuliko walimu wetu wengi wa zamani.
Oya madogo wanatumia lugha na mifano miepesi sana mpaka unaelewa. Kuna mambo kibao zamani darasani sikuelewa hasa kwenye somo la Physics ila hawa madogo wa sasa wananifanya nielewe kirahisi sana.
Necta wanavyotangaza UFAULU umepanda tusiwabishie.

The average guy gets treated like a dog by women, but look at how we treat the average woman. Men are seriously some of the coolest creatures in the universe.
Nilioa nikiwa na miaka 25 na kwa kulipa mahari ya Mil. 5,
Nilifukuzwa kazi, mwanamke akaniacha nilipokua na miaka 30💔. Guess what??? Nilikuja kukugundua kazi/hela ni muhimu kuliko mwanamke yoyote.
Hakuna Kitu kinachoumiza Kwenye Haya masoko Kama Kudeposit...
Then Ujibane Ufanye Hivyo kwa Ku espect kupata chochote Unaenda
Unachoma 🤣🤣🤣
Alaf ni Ile Time Huna Pesa Nyingine yyte Mfukoni🤣
Nyie nyie Matrader wanajua the Sistuation Ni Ngumu Nyie Hata Mapenz yana afadhali.

Kuna jamaa ni Mwanasheria
YEYE ndio mambo yake...😂
Ame Subs kwa watu kibao for SIGNAL
Kazi yake ni kupost status winning trade
ila tangia namfaham hajawai analyse chochote
na anasema hawezi fanya huo ujinga
na wakati kuna mtu anaweza mfanyia hiyo kazi
Yeye akapress tu kitufe😂