@kasesco_tz Unaenda halaka mzee
Kaini alivyomuua alilaaniwa na Mungu, nae akasema laana aliyopewa ni nzito na itakuwa kila atakaye muona atataka kumuua ndio akawekewa alama
Hao aliokuwa akihofia wakimuona watataka kumuua walitoka wapi wakati kwa mujibu huo kulikuwa na watu watatu tu?