@SuluhuSamia Mungu awalaze mahali pema peponi Askari wetu mliokuwa mnapigania taifa letu,hakika ni huzuni na majonzi kwa taifa na familia za wafiwa,inauma sana
Natoa pole kwa Jeshi la Polisi na familia za Askari 3, na Askari 1 wa kampuni ya ulinzi ya SGA waliopoteza maisha baada ya mtu aliyekuwa na silaha kuwashambulia katika eneo la Salenda, Dar es Salaam.
Mtu huyo amedhibitiwa na hali ni shwari. Nawaagiza Polisi kuchunguza kwa kina.
@godbless_lema Mlitakiwa kumpeleka milembe hosp,kwa muda ili akajipange kidunia ss hv katoka na kupalamia bangi mmeona alichofanya ni aibu kwa chama kikubwa inaonyesha hakuna uongozi wa kinidhamu wote ni wavuta unga tu na msipokuwa makini kitakuwa chama cha uasi
@EManjuru@moodewji Tukubali matokeo ndg zangu asiyekubali kushindwa........mlitaka afungwe nani?wao tu kila siku inaumaa hata hivyo ni wavumilivu walishangilia sana