Anko zala kwenye tangazo la mavazi ya kununua kwa ajili ya maandalizi ya Mujibu wa sheria Jkt 2026, wamempa Pitishoti ila kwake imekuwa suluari bwanga tuππππ
Jamani huyu Chama haya ni magoli gani anafunga?
Bao la saba la msimu kwa Mwamba wa Lusaka kwenye Ligi kuu ya NBC Tanzania bara akifunga bao la moja kwa moja kutokana na mkwaju wa kona.
Mashujaa FC 0-1 Simba SC
β½ 06' Chama
#KitengeSports