@Innocen89950594 Acha uzembe,umepata bikra mwenye maadili yakimungu,oa afukuzwe mpeleke kanisa kwenu abatizwe kwa Roho uone kama atakumbuka torati za kanisani kwao alipolelewa!
Martin Masese alikuwa akimnadi Mbowe wakati wa uchaguzi wa chama Wala hakujificha,Baada ya uchaguzi kumalizika aliendelea na kazi ya kupambana na CCM bila kuweka kinyongo,Leo hii wamehama waliokuwa na mapenzi na mbowe yeye amebaki Amechagua uhai wa chama
tumpe retweet 1000
@Jooh_Mgw@prossoff Bei itategemea na ulipo,unaipata kwa nani.unafuu ni kwenye minada ya serikali,mashirika makubwa kama makanisa ya mission nk.unaweza kuuziwa hata 50k hasa mission za mikoani maana kwao ni kama unawapunguzia skrepa! kwa watu tafuta mikoa mingine isipokua kaskazini!
@KiangiAri@Happine61746941 @ReganTesha_ Hata wanafunzi wake hawakumwelewa kwenye Mathayo 5:17-20 ila akaja kuwaelewesha alipofufuka.soma LUKA 24:44-47.
hivyo kuja kwake maanake ni kuondoka kwa torati na kuleta agano lingine la neema na kweli.soma WAGALATIA 3:23-25 na YOHANA 1:17
@KiangiAri@Happine61746941 @ReganTesha_ Wewe sio mchunguzi wa maandiko!
Agano jipya sio mpangilio wa vitabu!
Agano jipya tunaangalia mwanzo wa agano letu na Bwana Yesu,na hilo agano halikuanzia katika kitabu cha Mathayo sura ya kwanza,bali Mathayo 26!vivyo pia na vitabu vingine vya injili ni zile sura3 za mwisho!
@KiangiAri@Happine61746941 @ReganTesha_ Kama unaamini kuhusu wokovu then inabidi ubadili kufikiri kwako kumfananie Kristo,ujue neno la haki,ujue alileta nini,uachane na torati ya Musa uifwate neema na kweli ya Kristo,ufwate agano la Kristo pekee!kiufupi tu hilo agano halimuhusu mtu aliezaliwa mara ya pili.WARUMI 10:4
@bibl_etruth@Adventure_36 Shida hilo fundisho lilianzishwa na Mtumishi mmoja maarufu na anaekubalika mno kiasi kwamba wachungaji wengine nao wakalichukua tu kama lilivyo bila kuchunguza maandiko kama waberoya na kuzidi kulisambaza makisani kama wimbo!
@JuddyLaurent Kila unachokisia kinaenda direct kwenye moyo ndiomana Kristo akasisitiza tuwe makini,tuangalie tunachosikia na jinsi tunavyokisikiliza(MARKO 4:24 & LUKA 8:18)