@HecheJohn Hongera sana Mheshimiwa kwa kuchukua maamuzi ya kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA. Mungu akutangulie ukapate kura za kutosha naamini wewe ni chaguo sahihi kwa sasa katika kutoa mawazo sahihi na kweli.
@moodewji@SimbaSCTanzania Boss Fanya mambo kwa weledi mkubwa ili Hawa makolo wafurahi kwani mtaani hata ukimgusa kwa bahati mbaya anakuwa mkali๐๐๐