@SaburyAdam@MarekaMalili Weka standard order wanatoa kwenye akaunti yako kiasi unachotaka wanakuwekea kwenye akaunti yako ya saving nzuri ukiwa na fixed acc
@Rainold_1@Thereal_taivina Ukweli tusiopenda kuusikia,plus kwenye terms na condition wameandika wanapohisi any suspicion/fraud wana haki ya kuhold acccount hatusomagi sisi
Je Adhabu ya kifo kwa Kuluna Gang Ni sawa na Nini Chimbuko la Magenge kama Haya Nchini Congo?
➤Katika kona za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), tukio la kushtusha limeibua maswali makubwa kuhusu haki, siasa, na usalama.
➤Hii ni kutokana Miezi michache tu baada ya
Leo kanisani mchungaji alifundisha jambo ambalo ukilisikia utaona kawaida ila ukitulia kwakumshirikisha Mungu lina maana kubwa sana alisema vijana wengi wa kiume wamepotea walipoamua kuoa🤔sababu wengi walioa ili waonekane wanawanake wazuri🙏na sio mama wa familia zao