HATUA ZA KUFANYA MEDITATION (TAHAJUDI):
Kinachotakiwa wakati unajiandaa
Kufanya meditation ni kama ifuatavyo:
• Tafuta sehemu iliyotulia, isiyo na makelele, Kaa kwenye kiti au chini, au lala kitandani. Hakikisha huumii mahali popote, Legeza mwili wako pamoja na misuli yote..
.
@datius_tz Ukisoma comments utagundua kiwango kidogo cha kufikiri na kujua mambo walicho nacho vijana wengi wa tanzania aisee hakuna kitu kinashindikana dunia ya leo ni plans tu ila taifa limejaa vichwa maji wengi sana wanaona kama mtu kuwa daktari ni miujiza toka kwa mungu
@Sirjeff_D Mwanachama wakwanza kiherehere kabisaa nitapeperusha bendera kutokea Europe kupitia Norwegian sea,Arctic ocean mpaka Stavanger city Nchini Norway 🇧🇻
@privaldinho@privaldinho jambo la kimahamaka linakataliwa kisheria mahakama imeshatoa maamuzi kukaa X na kuandika haya nikama unakosoa maamuzi ya mahakama ni kinyume na utaratibu nenda mahakaman fuata taratibu za kisheria haki itapatikana onyesha ukomavu wako achana na watu wa X watakupoteza