Habari za asubuhi, kuna ajira ya mauzo ya VODACOM router kwa TANZANIA BARA - DSM,DODOMA,MWANZA,SHINYANGA,LINDI N.K. Mkataba ni wa mwaka mmoja. Mwenye uhitaji na fursa hii naomba atume message kwenye whatsapp, nasisitiza message za whatsapp TU kwa namba 0679828056. Asanteni
5KM ✅ 🧘🏿♂️
Nani yuko tayari turudie challenge ya Mwaka jana #RunWithSpana? KM 100
Kuanzia June 15 mpaka July 15.
Kilometer 100 tuu kwa siku 30.
Unaweza kimbia KM zozote kwa siku ili mradi mpaka July 15 uwe umemaliza 100Km.
Who's in?? 🙋🏿♂️