@ze_mandevu Si mbakie kwenu kwani lazima hamjaitwa mnalazamisha kutaka kuishi na kila siku ktk boti kuna wahamiaji wapya ambao hawataki kurudi kwao wanajipa uzanzibari kiswahili hawakijui
@rose_mayemba Pia sema toka muungano uundwe Zanzibar imebanwa kua na mkuu wa majeshi, jwtz tiss jkt uhamiaji polisi, kushindwa kua n uhusiani wa kimataifa gata ilipojiunga n oic ililazimishwa kujitoa mpira sio muungano ila tff inatumia jina n haki za zanzibar n kuchukua kila kitu from fifa
TAZAMA KWENYE JEDWALI UNAFUU WA BEI YA MAFUTA TANZANIA NA NCHI NYINGINE
Ukilinganisha bei ya mafuta ya Petrol na Dizeli kati ya Tanzania na nchi nyingine utaona Tanzania kuna nafuu kubwa.
@Abigael2020@PMadeleka Kumne pimbi nani alielazimisha na anaetaka muungano uwepo kama si baba yenu kafiri nyerere na hao waliokwwnye madaraka, wazanzibari hawataki na hawana haja na muungano huu wa kijambazi unaua ndugu zao kila uchaguzi, tungekua mbali sana bila ya muungano
@fido_vato@millardayo Sio lazima uende baki.kwenu kichogo, waachie wenyewe na tamaduni zao ww endelea kuvaa cheni ila usisahau na kiunoni maana na huko pia wanavaa
@mnyiginya@ze_mandevu Kumbee mwehu kweli sana yalw matarumbeta kule makanisani yanafanya nn, na ss tuzuie kuwrpo gari rd maana zinafanya makelele inakuaje uwashe mziki ktk bodaboda au chumbani kwako na chumba cha jirani hawezi kulala kw sauti y redio
@HildaNewton21 Acheni ukinga huo na wehu kwa miaka mingapi ya muungano, Zanzibar kawahi kutoa: - Mkuu wa Majeshi, Mkuu wa TISS, na Rais km.sikufa Mafufuli ikatokea kama ajali, kwa miaka mingapi Jeshi la Bara linaikalia kijeshi Zanzibar bila ya ridhaa ya Wazanzibari, chuki zirawaua
@BarakaMaviatu Hivi hivi ni og au kopi maana US ni $100+tax, UK ni £80+tax, Canada ni $100+ but bongo ni TZS60,000 sawa na US$25. Mbona kama inaonekana ni feki
@shetan8_ Acheni njaa msheikh huo sio uislam uislam umesimamia haki za watu ukweli je kuna ukweli Serikalin je ni halali kiongoz w nchi kua mwanamke je n halali kusimamia uuzwaji w ulevi, kuwepo mabaa, madunguro, maadili mabovu kwa jamii hayo ndio mambo ya msingi ya kuiambia Serikal ifanye
@Hakingowi@_zack255@dr_makame@aboudjumbe@EceJay Na wao wanakufa hawa kwani, sitoyasahau ya kuanzia mwaka 1995 na kuendelea kule Pemba na Shengejuu pamoja na mateso yaliotupata na watu wa Jang'ombe na Darajabovu kuvunjiwa nyumba zao. Mungu ampumzishe mahala pema, Aamiin