Kihistoria muda wa kitu ukifika hauwezi kubadili tena.
Tangu zamani..
Muda wa biashara ya utumwa kukomeshwa ulipofika haikuwezekana kuzuia tena.
Muda wa uhuru ulipofika wakoloni walilazimika kuachia hizi Nchi, hata walipojaribu kutumia mabavu haikuwezekana..
Moyo wa wananchi umeishakataa CCM, Muda wa ccm umekwisha, bunduki, mabavu, mauji na utekaji haviwezi kubadili hali hiyo.
Kucheza na hisia za wananchi na mioyo ya watu ni kucheza na moto.
Uhalali wa serikali dhalimu hauwezi kuletwa na bunduki.
🚨 Oman just told Europe: the free ride is over.
No return to pre-war conditions in the Strait of Hormuz. Ships will now pay fees for navigation assistance and pollution control.
Bloomberg reports Oman informed European officials directly. While the West demands "free and unconditional passage," regional powers are saying: our waters, our services, you pay.
This didn't appear from nowhere. Push too hard for control and even your Gulf partners start sending invoices. Iran and Oman working together on the world's most critical oil artery? That's the new normal.
Europe's energy bills and inflation are about to feel it. The age of dictating terms on Global South chokepoints is ending.
The bill for empire just arrived.
Who else sees the rules changing in real time?
Amri ya Patrobas Katambi kuzuia mikutano na shughuli za kisiasa ni batili na haitekelezeki. Amri hiyo inapaswa kupuuzwa na kutendewa kama tamko la mtu mwendawazimu. Taifa letu siyo ghetto la mbogamboga, kwamba wataamua haki zipi tufurahie na zipi ziwe hisani. Aluta continua!
Africans lived on the land for millennia and never hunted an animal species to extinction.
Then the Europeans arrived to bring civilisation, and within a few years they erased the quagga zebra, the bluebuck antelope, and the Cape lion, alongside countless plant species.
@MariaSTsehai Ufisadi wa FERRANT GROUP 👉🏽DP WORLD na 👉🏽MWARABU WA DUBAI:
Waarabu wa Dubai kupitia mjomba ake ZAINAB Al-DEEN ambaye ana hisa 85% za Ferrant Group ndie amemwagiwa mamilioni ya madollar ya kodi za Watanganyika ili zitumike kumchambisha kimama ambacho kimechafuka vibaya.
Hivi kuna SIKU hata moja mbogamboga mliwahi kufikiri mnaweza kujitangaza washindi kwa ushindi wa kishindo wa 98% kwa kujipa kura milioni 32 halafu mkashindwa kujiapisha hadharani uwanjani, mkaenda kujiapisha kwenye kambi za jeshi, bila uwepo wa wananchi, mkitumbuizwa na SHILOLE?
Hivi kuna SIKU hata moja mbogamboga mliwahi kufikiri mnaweza kujitangaza washindi kwa ushindi wa kishindo wa 98% kwa kujipa kura milioni 32 halafu mkashindwa kujiapisha hadharani uwanjani, mkaenda kujiapisha kwenye kambi za jeshi, bila uwepo wa wananchi, mkitumbuizwa na SHILOLE?
Wenzenu sisiyemu wanatumia mabilioni ya pesa kulipa na kusafirisha watu, halafu nyie @ChademaTZ2 watu wanakuja na kuwachangia hata fedha....
Hawa watu mnawatoa wapi? 😁😁😁🙌
Licha Ya Mkurugenzi wa Wilaya ya Tunduma Kuhamisha eneo la mkutano wetu ambapo awali lilipangwa kufanyika Tunduma mjini, na kulipeleka umbali wa takribani kilomita 15 kutoka mjini.
Lakini umbali haujatosha kuwazuia Wananchi wa Tunduma kuja kwenye Mkutano wetu, wamefurika kwa wingi tena bila kusombwa kwenye mafuso wala kupewa posho.
Chadema inapendwa sana, huwezi kuzuia Mahaba ya Wananchi kwa CHAMA CHAO.
Hii inaitwa IGA UFE, JARIBU UFILISIKE.
1. Mbarali, Mbeya
2. Makambako, Njombe
3. Songea Mjini, Songea
4. Masasi, Mtwara
Hii ni mikutano ya hadhara katika mikoa minne tofauti kanda ya kusini na Nyasa. Mikutano mingine imefanyika asubuhi. Watu ni wengi kama mchanga.
Wananchi wamekuja wenyewe bila kusombwa na kulipwa na wamechangia TONE TONE kuendesha chama chao. Wananchi wanaipenda CHADEMA.
Mashosti wa mbogamboga, wao hadi bajeti itoke kwa MaCCM na msimu wa uchaguzi ufike ndio unaweza kuwaona majukwaani. Siasa za posho. Shensisana.
#KatibaMpya #FreeTunduLissu
"An 82-page submission to the International Criminal Court by a group of civil society organizations [has] stated that the Tanzanian authorities killed more than 3,000 civilians following polling day [last October]." #tanzania#africa
https://t.co/TgFCXTbZIJ… @euobs