@ufntc Aliye waweka pale Kwa Gwajima nani? Baada ya zile video wananchi wanawashangilia huku wanabembea kwenye gari la Jeshi kusambaa, watu walipata courage na kutoka nje.
@justkanesaint@RKishaija I understand its usefulness, but doing it on Paper was Boring, can't pretend like nilikua naenjoy.
And, we had to program them in Fortran ( Old eeeh?, ndio elimu yetu ya bongo).
Leo asubuhi nilikuwa nilizungukwa na mawaziri kutoka Pacific Islands.
Nilipokuwa Fiji waliniambia watu wa Fiji walitokea Tanganyika, kimsingi nilikuwa na wanyumbani
@ufntc@gosun34183@bichwaa Yes MP inasema hivyo, lakini inasema ni elevated network kupunguza Compensation. Na kuzingatia udogo wa eneo la barabara lilipo.
Swali, la kuwa wanavunja au wanafuata MP ni la msingi.
@DavedasTz@ufntc Tunahiyo luxury ? Ya kuvunja na Kujenga as we please?
That's simply poor planning
Sisi ni nchi Maskini we should behave kama nchi inayotaka kuondokana na umaskini.
@EduTalkTz Ni lazima tuwatambue Kwa dini zao?
Isingekuwa tatizo kama Tungewatambua watu as Indivuals.
Tatizo lilianza ( kwangu binafsi) unapoleta biased source kama ndio chanzo cha kuwatambua wengine, ambapo chanzo hiki kimechagua Angle moja tu ya watu wanaoshare nae Imani.