Katika yote,tusisahau kusalimiana,kujuliana hali na majirani,kama kuna shughuli yoyote ya kijamii tujitahidi tushiriki kwa pamoja.Ata uwe na maisha mazuri vipi,majirani zako ni watu muhimu sana,tukae nao,tusaidiane na kuombeana mema.
Vijana tuendelee kulinda brand??..
Nimeshuhudia majanga mbalimbali mara zote waokoaji ni watu wa hali ya kawaida sana.,Ni wale wana ambao hatuna time nao,ikitokea wamejitokeza kwenye picha zetu tunacrop maana sio maarufu na hawatoki familia za kishua,vijana tunadai BRAND.😪
Vijana..
Tusali sana.Tuheshimu kila mmoja bila kuangalia uwezo wake,kila mmoja ni muhimu kwa nafasi yake(waokoaji wengi sio wale tunaokesha mtandaoni kuwapa sifa kede kede).Ukipata nafasi,samehe ishi maisha ya kumpendeza Mungu,harakati za kutweza utu acha kabisa.
Hivi ni mimi tu nakereka na tabia unamtext mtu sensitive na seriuz text tena ndefu alafu anareact kwa imoj au stickers?? Hivi ni sawa au kuna nmna inakera kama inavyonikera mimi??
@TillahBlessed Ni chaguzi mbili tofauti,kuanzia namna wwnavyoendesha na namna kama nchi imejipanga na chaguzi za namna hii..Umewahi kuona nchi gani Afrika raisi anatangazwa saa24 baada ya kura kupigwa??
Umempa mtu/rafiki/mshikaji mchongo ukatiki kweli tena kwa pesa nzuri,mtu anaondoka ata feedback hakupi/mwingine kwa deal la million kadhaa anakitumia elfu5 ya soda baada ya hapo anakucut off mazima kwenye circle,hii inakaaje kiubinadamu?? .Tenda wema nenda zako au umuhoji??