Kifungo cha Lissu cha miaka minne jela si haba, Atatoka akiwa na adabu. Nchi ina sheria, na nchi ni Huru. Vifo vya Ndugu wa Watanzania 518 angalau wamefutwa machozi....
Sasa ni zamu ya Heche na wote waliohusika katika uchochezi huu kukamatwa na kufungwa.
Na Yericko Nyerere
@SuluhuSamia Your Excellency, Dr. Samia Suluhu Hassan,
On this special day, I extend my heartfelt wishes for a joyous and blessed birthday. May your unwavering dedication to the progress and prosperity of our nation continue to inspire all.
@SulleyNsomba@edwinbernard7@VodacomTanzania Kabisa imekuwa kama umeme ... sasa hapa kuna miamala ya dharura ya kufanya ndio inakuwa kero kabisaa. Ukitaka zile statement hazitoki ila hela wanakata. Nadhani ni wakati muafaka wa kurudi bank
@edwinbernard7@VodacomTanzania Ndugu Mteja, tunaomba radhi kwa kutopatikana kwa huduma ya M-Koba. Kuna maboresho muhimu yanayoendelea ili kuhakikisha huduma inakuwa bora zaidi. Utataarifiwa kwa njia ya SMS punde maboresho yakikamilika. Asante kwa uvumilivu wako.