@PunditParadox@godbless_lema Labda alikuwa na dharura mkuu hakutaka maneno mengi akatoa gun ili mtulie akaondoka zake lakin kama angekuwa na fujo si angewakamata.
@Kariakoo_ Nahisi mtoa mada hukuelewa kwanini Kuna Mungu na mungu na hawakusema kama ni kosa
Mungu ukianza hiv kwa herufi kubwa walimaanisha ni Mungu wa mbinguni.
mungu inamaanisha ni miungu kama zumaridi wengine wanaoabudu ng'ombe bahari n.k