@bajabiri Shida inaanziaga kwene vyombo vya habari na raia unakuta wanawasagia kunguni walimu. Huyo angekua mwalimu ungeona maoni ya walimwengu hata CWT nao wanaufyata kwa kusoma upepo wa raia
@P_simpleman95 Yaan nashindwa kuelewaa, kwa sauti ya yule mchina. Mungu aliko anashangaa watu wa mkuyuni, igombe Luchelele maji ya Bomba ni anasa kuyapata