@EsirEid@kimaramatosa Shida si ukeketaji shida kuondosha kisimi chote Hata Asili ilikuwa ni kwa wale wenye Visimi virefu Sana ndiyo hufanyiwa tohara kwasabu wako wanawake Visimi ni virefu Mno na wako wengine kisimi mpaka ukisachi kwa hiyo kwa huyu mwenye kirefu kinapungzwa na siyo kuondosha kabisa
@MzalendoDaily Acha upuuzi Sisi Waislam na huo upuuzi wenu msitunasibishe kwani Muislam Anaenda kusimamia Uislam au Anaenda kusimamia Miongozo ya Taratibu za Chadema
@MzalendoDaily Acha upuuzi Sisi Waislam na huo upuuzi wenu msitunasibishe kwani Muislam Anaenda kusimamia Uislam au Anaenda kusimamia Miongozo ya Taratibu za Chadema