@mshobozipeter We kaka acha tu bora ya panga unaweza ukalaza na shoka na jembe mimi nalala pekeangu kama maiti kama tutakuwa wengi basi tuitishe mkutano tujadili ni nini hasa kimesibu mpaka haya mabo yanafikia hivi
@iHumphreyz Ooh samahamu myeja hiyo dawa ipo kidogo sana kutokana na wateja wetu kutaka dawa ya kuongeza nguvu za kiume sanasana tukajidahau kama patatokea mteja anataka kupunguza nguvu za kiume nipe siku tatu tu nikuandalie
@SuphianJuma@SuluhuSamia Haya ndio bwana TCRA wa kwenyu polisi ni wa kwenu mmesma na Tnganyika ni ya kwenu umeshindwa kumwambia TRC akufanyie wepesi wewe unayekuja kujua haya leo je? huyo uliyekuwa unampost naye anasemaje!?
@r1o2b3b3y4 Aisee safari ya mbinguni sio salama, halafu wewe unawapeleza waumini na wachunga watu (kondoo) huyo kondoo kama alikuwa nakupe wengi (zambi) unategemea angemuongea akiwa na manyoya mengi.