⚡Russia kujiondoa katika kutumia Internet ya Dunia
Uamuzi unaofuatiwa na Russia ni kujiondoa katika matumizi ya internet ya dunia, ikiwa ni juhudi za kujilinda na cyber attacks zinazowakumba.
Uamuzi huu si wa ghafla, kwani walishafanya majaribio March 2019.
#HabariTech
Ndugu wataalamu wa ICT na kada zingine, UAMINIFU kwenye kazi ni kitu mhimu sana, mwambie mteja kazi unaiweza au huiwezi, mteja hajali kuhusu njia gani umetumia kutengeneza anataka kuona "Product" inaendana na matakwa yake,kama ni kazi kubwa mwambie itachukua mda flani, acha UONGO
Thousands of trees are chopped to expand farming fields for more yields.
‘Plant to stop poverty” (PSP) seeks to refabricate unethical agriculture practices.
At the end trees will stand to serve other natural purposes. https://t.co/eJiwEaSo7X
No date for Valentine's Day this year? No problem! Konnect will be your partner for the evening, we'll take care of your Internet connection so you can focus on something else!
Sit back, relax, order your favourite take away and watch a great movie. 💝