Mfugaji,
Nunua vifaranga wa kuku wa mayai wenye sifa hizi
✅ Mayai yao huhitajika sana sokoni
✅ Wamepata chanjo ya Marek’s
✅ Uzalishaji mkubwa
✅ Wachangamfu
✅ Uvumilivu
🎯 VIFARANGA BORA KWA MAVUNO BORA
#kukuwamayai#poultryfarming
MAHEPE Ni Ugonjwa Hatari Sana Kwa Wafugaji
Ugonjwa huleta kupooza, uvimbe na udhaifu wa kinga
Ugonjwa dalili zake:
• Kupooza mabawa au miguu
• Kupungua uzito
• Kufa ghafla
Zuia MAHEPE kwa kutumia chanjo ya Mareks
Kataa Magonjwa Kataa Hasara
#pamojasokoni#kukuwamayai