Kumekua na sintofahamu kuhusu mkataba wa Mwamba wa Lusaka kiasi cha kuzua taharuki miongoni mwa mashabiki wetu
Taarifa ni kwamba Chama bado ana mkataba na Simba kwa muda wa mwaka mmoja hadi 2024
Hatujapokea ofa kutoka klabu yeyote ikihitaji kumnunua Chama
Na wala hatujapokea maombi ya mchezaji kutaka kuvunja mkataba
Mchezaji yeyote ambae tunamhitaji atabaki kuitumikia Simba kulingana na mahitaji ya mkataba wetu
Tupo huku kituo cha soka cha TFF Kigamboni tukifuatilia Ligi ya vijana chini ya umri wa miaka 17
Timu yetu ya Vijana Simba U 17 imeshinda 2-0 dhidi ya KMC U 17