Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Malkia wa Uholanzi Mhe. Maxima ambaye pia ni Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Mfumo Jumuishi wa Fedha katika Maendeleo @venusnyota
Tamko la Serikali kuhusu nyongeza ya mishahara ya wafanyakazi iliyoanza Julai 2022 litatolewa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. @KassimMajaliwa_ kuanzia saa 10:00 jioni leo tarehe 29 Julai 2022 kupitia vyombo vya habari vya Redio, TV na Mitandao ya Kijamii.
Taarifa hii inaelezea mafunzo ya YALI- MWF na mrejesho mzima wa ushiriki wake na namna ambavyo taasisi na vijana wa Chama Cha Mapinduzi wanaweza kunufaika na uwakilishi huu, na namna ya kuziendea fursa mbalimbali za Kimataifa.
#AlipoMamaVijanaTupo#ShirikiUchaguziKwaUadilifu
TAARIFA YA MAFUNZO
Naibu Katibu Mkuu UVCCM Taifa- Bara, Ndugu Mussa Mwakitinya (MNEC) apokea taarifa rasmi ya Mafunzo ya Uongozi ya YALI- Mandela Washington Fellowship 2022 aliyoshiriki Ndugu Victoria Mwanziva Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi wa UVCCM Taifa
#KaziIendelee
TAARIFA YA MAFUNZO
Naibu Katibu Mkuu UVCCM Taifa- Bara, Ndugu Mussa Mwakitinya (MNEC) apokea taarifa ya Mafunzo ya Uongozi YALI- Mandela Washington Fellowship @WashFellowship aliyoshiriki Ndugu Victoria Mwanziva @victoriacharlz Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi wa UVCCM Taifa
On 27.07.22 was organized a first-time convivial and casual meeting at Mr. Chirich Kasbian, Tanzania Honorary Consul's residence between Amb. Alex Kallua and Amb. Martin Mwanambale (Zambia), Amb. James Gatera (Rwanda) & Amb. Reta Nega (Ethiopia)
Congratulations on the convening of the Promotion Conference for China (Hunan)-Africa Economic and Trade Cooperation, held in central China's Hunan Province. @MbelwaK
Balozi @MbelwaK atoa salaam za pongezi kwa Kituo cha Televisheni cha Hainan kwa kuanzisha Programu Maalum ya kutangaza Eneo la Bandari Huru&Biashara kwa madhumuni ya kukuza biashara kati ya China na Mataifa ya Nje @mfa_tanzania@ChineseEmbTZ@PDChina@cgtnafrica @WuPeng_MFAChina
Naibu Katibu Mkuu UVCCM Taifa- Bara, Ndugu Mussa Mwakitinya (MNEC) apokea taarifa rasmi ya Mafunzo ya Uongozi ya YALI- Mandela Washington Fellowship 2022 aliyoshiriki Ndg. Victoria Mwanziva @victoriacharlz Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi wa UVCCM Taifa.
KINANA NI CHUO KIKUU CHA SIASA KINACHOTEMBEA - @hamdu_shaka
"Komredi Kinana ni gwiji la siasa za ndani na nje, amekulia ndani ya TANU na CCM. Ni mwana majumui (pan africanist). Kwa vijana wenzangu mlio madarakani na ambao mnatarajia kuingia, Tujifunze kutoka kwa Mzee Kinana"
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. @dr_mpango na mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wakishiriki Ibada ya kawaida ya Asubuhi katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Malkia wa Amani iliyopo Kijiji cha Kasumo mkoani Kigoma leo tarehe 29 Julai 2022.