@rollymsouth@EliabuDanford Plus akija kukaguliwa aongee nini kuhusu hiki kivuko ili isionekane ameiingizia serikali hasara ya zaidi ya 4B? Just do the math right kwa unachoshauri TEMESA atadouble gharama za kuendesha kivuko.
@rollymsouth@EliabuDanford You suggesting kivuko hiki TEMESA akiuze? Akigawe au akiache kioze Boss? I believe Temesa ana policy ya namna yakuhandle assets zake. Alispend 9B Kwa asset yenye lifespan ya 30 years, after 15 years anunue kipya. Well suggest nini afanyie hiki cha zamani?
@Mtumtitu @bigirwaMulokoz @swahilitimes Twende kwenye perfume perhaps tutaelewana. Wewe ukiwa na mapafyum yako yanaexpire next month utalimit yauzwe kwa wanaume wenye ndevu tu???๐๐๐ Yaani kwanini wajawazito tu ndo watumie zilizokaribia kuisha muda na sio watu wote ili ziishe mapema?
@Mtumtitu @bigirwaMulokoz @swahilitimes Achana na perfume kama logic ni MRDT ziishe kwakuwa zinakaribia kuexpire kwanini zilishauriwa kutumika kwa wajawazito tu? Kwamba wengine wakizitumia zitachelewa kuisha au?๐๐๐
@funjojr Zile hazijaexpire ila zinakaribia kuexpire zitumike ili ziishe ila zitumike kwa wajawazito tu...๐๐๐๐..zikitumiwa na watu wote zitachelewa sana kuisha๐๐๐๐. Ulaya nafata nini mimi
@masoudkipanya Ok Hilo Kaburi Ni kama ofisi na Huo Mguu ni wa HR anaekataaa Kutoa ajira kwa Vijana...
Sasa anatoa Mguu Kama Ishara kwamba kampun Imezidiwaaa....
@ndembo255@MiriamMkanaka@INFLUENCERjr@DStv_Tz@Nnauye_Nape DSTV kasema ana exclusive right ya kuonyesha mpira kwa televisheni za kulipia. Nenda tena kwenye chati ya FIFA inayoonyesha media rights and licenses tafuta nchi ya Tanzania angalia TV broadcaster wakulipia mwingne zaidi ya supersport. Mbona notice yao iko wazi mzee.