@George_Ambangil@mnazi36 Ubwege wa kina Dalot wanabaki nao kina Dalot ila Kipara apumzike tujitafute tu maana kama kuvumiliwa kavumiliwa zaidi ya sana na alitimuliwa hana wa kumlaumu
Pale mwanaume anapokubali kwamba hakuna anayekuja kumuokoa,
kuna kitu hubadilika ndani yake.
Visingizio na malalamiko vinapoteza maana.
Na hapo ndipo starting point ya Uwajibikaji inaanza.
Unlock.
UKISHA JIJUA UNA NGUVU KWENYE ULIMWENGU WA KIROHO EPUKA MAMBO (7)
1)epuka mikopo watu wenye nguvu za kiroo wakikopa wanapata tabu kurudisha zaidi wanaweza kuyumba zaidi
2)ukiwa na nguvu za kiroho kazi ya mshahara itachelewa sana kukupa matokeo
3)ukiwa na nguvu za kiroho epuka kuonewa huruma au kujitetea na jambo lolote akuna atakae kuelewa watakiwa uwe kmy nguvu zako zitatenda
4)watu wenye nguvu za kiroho hawapendi matatizo ila matatizo yakiwepo hawaogopi
5)ukiwa na nguvu za kiroho epuka kila mtu kushika kichwa chako kichwa chako ashike kinyozi tu
6)ukiwa na nguvu za kiroho epuka kulipa visasi ukilipa visasi na wewe unajiumiza tulia tu alafu majibu utaona
7)ukiwa na nguvu za kiroho epuka kujitamkia mabaya wewe watoto wako au watu wengine
🔻🔻🔻Mana ukiwa wajitamkia mabaya wewe mwenyewe wajifunga zaidi
🔻Ukitamkia watoto wako mabaya fahamu watoto wako ndio watazidi kuwa na matatizo
🔻Ukitamkia watu mabaya wanaweza kupata mitihani mwisho watakuona mchawi
Uliweswee🫵
Bro, kuna kipindi kinakuja kwenye maisha ya mwanaume ambacho kinaonekana kimya…
lakini ndani yake kuna vita ambavyo watu hawavisikii.
Miaka ya kati ya 25s na 35s sio mchezo.
Sio kipindi cha kutabasamu ovyo.
Ni kipindi ambacho dunia inaanza kukupima kama mwanaume, sio kama mvulana.
Kila siku unaamka ukiwa na swali moja kichwani: “Nitawezaje kuishi kesho ikiwa leo bado mambo yangu hayajakaa?”
Hakuna anayejua mawazo unayobeba.
Hakuna anayejua pressure unayovumilia.
Watu wanakuona tu kama kawaida,
lakini ndani yako kuna vita vinavyokula nguvu zako kimya kimya.
Kaka huo ukimya unai uona kwa rafiki zako sio amani ni mapambano
Kila mtu yuko busy na vitu vyake:
wengine wanatafuta pesa
wengine wanajenga maisha
wengine wanapambana na madeni
wengine wanaishi tu kwa mazoea
Miaka hii kila mtu anaonekana mbali au amekudharau,
lakini ukweli ni kwamba kila mtu anaogopa kushindwa.
Ni kawaida Wanaume hawazai marafiki wengi —
wanabaki na wachache tu wanaofahamu maumivu yao.
Hii ndiyo miaka ya kujua kwamba ulikua serious au una post quato za motivation status
Kuamka mapema hakusaidii kama huna mpango.
Kukaa kimya hakusaidii kama hufanyi kazi.
Kukaanga stress bila kuchukua hatua ni kujidanganya.
Huu ndio umri ambapo dunia inakutaka uamue:
utapambana au utaishi kwa bahati?
utajenga au utategemea?
utabadilika au utaendelea kulalamika?
Wanawake wanaweza wakakupenda lakini wasikusubiri
Unapoteza focus haraka?
Huna malengo?
Unakimbiza kila sketi?
Unatafuta starehe kuliko mwelekeo?
Pole bro,
heshima huja na maendeleo, sio mahaba.
Usiweke moyo wako kwenye mapenzi zaidi ya maendeleo yako.
Mwanamke atakaa bila pesa zako,
lakini heshima yake kwako
inategemea unavyojijenga.
Mapenzi bila uthabiti = stress.
Mapenzi bila vision = drama.
Mapenzi bila pesa = maumivu.
pesa sio Kila kitu, lakini pesa huamisha Kila kitu
Ukishaingia 25+ unagundua:
bili hazilipwi kwa kuomba ushauri,
njaa haisubiri motivation,
maisha hayabadiliki kwa kulalamika.
Unahitaji:
ujuzi
nidhamu
kujitengenezea nafasi
akili ya kutofukuzana na kila kelele ya dunia
Watu wanaonekana wamefanikiwa ghafla,
lakini hawakuona miaka ya kimya,
miaka ya kukata starehe,
miaka ya kufeli kimya kimya.
Kaka ni makosa makubwa sana kujiringanisha na wengine
Kila mtu ana timing yake.
Kila mtu ana baraka zake.
Kila mtu ana mzigo wake wa siri.
Wengine wamezaliwa tayari na network.
Wengine walikuwa na backup ya kifamilia.
Wengine walikuwa na bahati y
Lakini hakuna aliyezaliwa na safari yako.
Hakuna aliyepewa uwezo wako.
Hakuna aliyepewa maisha yako.
Tembea polepole,
lakini usisimame.
Bro jenga tabia ya kusimamia maamuzi magumu hii ndiyo siraha wanayo itumia watu waliofanikiwa
Kuacha marafiki wabaya ni maumivu.
Kuacha starehe ni ngumu.
Kuacha wanawake wanaokukwamisha ni mateso.
Kuanza upya ni uchungu.
Lakini kila maumivu unayoyapitia sasa
yanakutengeneza kwa mtu ambaye
utamshukuru miaka mitano ijayo.
MWISHO… BRO, KITU KIMOJA USISAHAU:
���Uliyetakiwa kuwa
bado yupo ndani yako.
✅Ana nguvu.
✅Ana vision.
✅Ana uwezo.
Usimfukie kwa uvivu.
Usimzike kwa hofu.
Usimwache afe kwa starehe.
Huu ndio wakati wa kumuokoa.
Bhana bhana!
Jana wakati watu Kesi ya Tundu Lissu ikiendelea kusikilizwa mahakamani.
Tajiri la Kihaya,
Alivujisha Screenshots za wasimbe (wadada wa humu X)
Ambao wamefungua Group huko wasapu, kwa ajili ya kumtukana Yeye na kumtakia mabaya.
Tajiri anakwambiaje,
Hatakama wakifungua Group jingine, wakiwemo watu hata watano (5) basi wajue kuwa humo ndani watu wake watakuwepo.
Naomba nisikua Hadithie Saaaana!
Raha ya Vita uiangalie live ukiwa Ulingoni.
Screenshots kwa Comments👇