🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰
👉 Size S,M,L,Xl,& XXL
👉Bei 28,000/=
https://t.co/bkonJGPQ2J
Au 0713800448
📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
Wengine tupo hai hadi leo sababu ya experience tuliyopitia
We know friends to hold, Snitch to kill na mafala wakuwaweka mbali
Kikubwa mioyo yetu haijabeba chuki kama wao
Mkimuona mwambieni nilizaliwa pekeangu na nikifa nitaziwa pekeangu, na sio lazima anitumie good morning hivyo awe na amani hata bila yeye naweza kuishi,
Mafanikio hayatokani na bahati Bali kujituma kuwa mvumilivu bidii na imani endelea kusonga mbele hata polepole kila juhudi inakupeleka kwenye lengo lako🙏
Habari za asubuhi wapendwa wa Mungu.