@askariwahovyo@MacAlpho@mentor209 Mkuu, siku moja omba lift kwenye zile gari za serikali utaelewa. Zile gari uwa zinatembea mpaka spidi zaidi ya 140kph
@EsirEid Binadamu uwa tuna ubinafsi sana. Na hii ndio inaonesha ni namna gani watu wanapenda siku zote uwe chini, pindi utakapoanza kunyanyuka basi roho za chuki, wivu , husda juu yako uchomoza.
@privaldinho Hao unaowaita mazezeta kuna ambao wanaweza kuwa ni wana yanga. Hicho ulichoandika ni udhalilishaji kijana, kumbuka hao wapo kazini wanatafuta ridhiki tu. Hiki unachofanya hakipaswi kufanywa na mtu kama wewe