Nimepokea simu na sms nyingi, zikitaka kufahamu ukimia wa Kijana wa Chama @IAMartin_. Wengi hawajaona akipost na bahati mbaya zaidi simu zinaita tu. Poleni sana. Nimepata hakikisho toka kwa Mama mzazi wa @IAMartin_ kuwa ni mzima wa afya, yupo kwenye shughuli za kifamilia.✍🏼