@spana_Konki Watu wanaorusha hayo matangazo hawako makini kabisa! Hiw can you stick on same shot for so long while you have alot of options , jinga kabisa.
@bajabiri Nimewaza tu! Kama hakukuwa na ushahidi wa kutosha wa picha mjongeo, je kuna camera za kutosha kulipata tukio hilo kwa angle zaidi moja? Tuna safari ndefu sana.
Sabato Njema!
Sabato ni kama mti wa matunda, ikitupatia kivuli cha utulivu na matunda ya baraka. Tuchukue muda huu kukumbuka wema na uaminifu wa Mungu, tukipata pumziko na faraja katika Neno lake.
Sabato njema na baraka tele!
Ni lazima uchukue jitihada binafsi kujielimisha, na hapa ndio mabadiliko ya kweli hutokea.
Tofauti na hapo utaishia kutumia vibaya karama alizokupa Mungu na utaishia kuwa failure.
Ninakuombea asubuhi ya leo, Mungu akupe Neema, uweze kujielimisha, na ukatende yakupasayo.
MAZUNGUMZO HASI MOYONI NI TABIA MBAYA.
Kujiweka chini kila wakati na kuwa na kujistahi kwa chini.
Jinsi ya kurekebisha:
• Akili Chanya = Matokeo Chanya
• Daima uwe na mtazamo mzuri
https://t.co/2e5zcLgZam
Unahitaji kusikia Sauti ya Mungu katika maisha yako, fungu biblia yako na uisome kwa tafakari, na umruhusu Roho wa Mungu akuongeze kuaikia sauti ya Mungu, tunapoomba Mungu anatusikiliza tunalosoma Biblia unamruhusu Mungu Kuzungumza ndani yetu.
When was the last time you told your spouse you love them? When was the last time you appreciated your parents? When was the last time you said "thank you" to your colleague?
May we learn to love each other better, not only today, but with every opportunity we have. ❤️