TANZANIA ni nchi pekee wateja wakiwa wengi kampuni zinakufa. Duniani kote wateja wakiongezeka huwa ni baraka kwa kampuni.
CRDB wateja wakiwa wengi network iko down.
Vodacom wateja wakiwa wengi ukipiga simu hazitoki.
DAWASA wateja wakiongezeka maji hayatoki.
TANESCO wateja wakiwa wengi umeme unakuwa wa mgao.
Mwendokasi ...
SGR ...
Reason: watu wamekuwa wengi.
๐
Soon nitawapelekea Moto WASANIIโฆ na kisha kuweka context ya ushiriki wao as Enablers, Apologists & Sympathizers.
Mambo ni mengi bado na digest Speech na Matamko ya MADELU. Na kuna angles zingine bado hatujazi analyze. SUBIRA SUBIRA
No stone will be left untouched!
Fx Traders Tz Mkwapi..? ๐น๐ฟ
Fx Twitter Community Kumepoa, Tuzinduke kama wanetu wa KE na Niger ๐
Dondosha handle kwa comment apo and lets connect
.
Walivyokuwa hawana akili watataka kwenda kufukua pale kwa Kondo ili kuhamisha miili!
Sayansi imekuwa kubwa mtadakwa tu, Bora mtulie tu!!!, tutapalinda kwa Kondo wivu mkubwa sana!!
Ukombozi upo njiani unakuja.
Ngoma ya MAKOMBOLELO ndio ishara ya mapambano. Tulishasema kila anaesapoti hii ngoma basi anachukizwa na yote yanayoendelea kwenye nchi yetu.
Sasa hii ngoma watu wamekuwa wakiingia nayo kwenye maharusi na inapigwa mabar, na maeneo mengine. Ni sahihi kuwa hivi, maana maisha lazima yaendelee hata kama tupo kwenye Taifa la kidikteta, na kupitia maumivu tunayopitia kama taifa tutajiburudisha na nyimbo yetu ya UKOMBOZI MAKOMBOLELO.
Sio nyimbo za Wasanii ambao waligoma kusimama na wananchi kipindi cha GIZA, hatuna muda wa kusapoti MASHETANI.
KWASASA NGOMA NI MOJA TUU MAKOMBOLELO NA WAWATAWALA WAJUE WATANZANIA WANATAKA NCHI YAO.
REPOST 500
TUTAKUWEPO๐ซต๐