Hakikisha unafanya mambo haya👇🏽 leo hii:
1. Fanya mazoezi
2. Soma kitabu
3. Andika mawazo yako ya maendeleo
4. Sikiliza wengine
5. Fanya kitu zaidi ya utaratibu wako wa kila siku
6. Ifanye namba 5 kuwa tabia ya kila siku
#Itslyontanzania
Tumepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya tatu wa Tanzania, Mhe! Benjamin William Mkapa. #ASRoma inatoa pole kwa familia yake, ndugu zake, marafiki na Taifa la Tanzania kwa ujumla. #RIPMzeeMkapa 🇹🇿❤️💛🙏