@chapo255 Asilimia kubwa ya watanzania hii World Cup wanaiangalia kupitia azam….kila sehem nayopita naona ni azam tu,Dstv nikama vile watu hawana mpango nayo tena
@mustaphakinkula@1960Remija Utachezwa siku inayofuata au muda mwengine wa Karibu zaid kadri ratba inavyoruhusu……..sasa cjui hujaelewa nin hapa chief……….soma hapo inapoanzia *au*
@olodarasero@NchiAhadi Unazungumzia mahubiri huo ni utashi tu wa mtu…..mi nilifikiri utanitolea andiko lolote kutoka kwenye Qur-an inayofundisha chuki kwa wasio waislam