Baadhi ya madereva wamekua wakipuuzia na kutenda kwa makusudi makosa ya kutokutii sheria za barabarani ambayo yanaweza kusababisha madhara kwa abiria na watumiaji wengine wa barabara. Je wewe kama mdau na mtumiaji wa barabara unadhani nini kifanyike?
#RSApazasauti#Ajalisasabasi
@mshambuliaji Sijaona wakuwazidi katika hao ni mapendekezo ya wasaidizi na wenye hisia za ki club.Ndani ya Nchi na Nje ya nchi wameonyesha mwelekeo mzuri kwenye vilabu vyao.Hao waliobakishwa sifa zao zijaziona.