@SuluhuSamia pole Sana kwa Msiba mama @WilliamsRuto za huko Baba yangu na pole na majukum ya kazi. Samahan marais wangu WA EA. Manionaje hari ya wakongo na vita vyako please naomba mfanye Jambo ili kuepusha madhara makubwa kwani Nina Imani kama mkisimama kwa nafasi zenu ๐๐๐
@Jambotv_ Kwa hili linalo endelea ipo siku mtajua ya kuwa Mungu alie ziumba mbingu na nchi atajibu kwa wakati wake maana mbele zake mwenye haki hakuna atakae kuwa salama kwa hili linalo tokea