“Siku moja simu yako itaita na hutapokea, ujumbe utatumwa na hutajibu, watu watakutafuta na hawatakupata. Kilichobaki kitakuwa historia ya maisha uliyoishi na alama uliyoiacha duniani.” 🕊️ 🕊️
Sio kila wakati utakapoomba kwa Mungu utapewa majibu papo hapo. Wakati mwingine Mungu hukujibu kwa kukusubiri, kukufundisha subira, na kukuandaa kwa kile ulichoomba. Endelea kuamini, muda wake ukifika kila kitu kitakuwa sawa.” 🙏❤️