Ukiukwaji wa haki za wanawake huanza kwa kuwatenga na kuwabagua wanawake katika utoaji maamuzi. Kwa hiyo miongoni mwa viashirio vya kuheshimu haki za wanawake ni kujumuishwa kwao na kushirikishwa katika mambo ya kitaifa na katika vyombo vya kufanya maamuzi.
Ukosefu wa ajira kwa vijana bado ni changamoto kubwa, ni wakati sahihi sasa tukapata juzi mbalimbali ili kuweza kutatua changamoto hii.
#WYSD#UjuziEndelevuKwaVijana@ILO_EASTAFRICA
#Habari:Naibu Waziri wa Maji, Mhe.Juma Aweso amemuagiza Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, kuwaondoa katika nafasi zao, Mhandisi wa Maji wa H/Wilaya ya Kakonko, Elinathan Elisha na Mhandisi wa Wilaya ya Kasulu,Godfrey Mbuza kwa kushindwa kusimamia na kutekeleza miradi ya maji.
SIO SIRI MAGUFULI KURUDI TENA KWENYE URAIS.
Akizungumza na Watanzania waishio nchini Misri, Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Majaliwa Kassim amewaambia watanzania hao kuwa hakuna siri kwamba Rais Magufuli atarudi kuomba ridhaa tena kwenye uchaguzi mkuu ujao.
Yajue maeneo ya usitawi wa jamii na bwana Magubiki Masebya(afisa usitawi wa jamii wilaya ya #kibondo)
1. Utatuzi wa migogoro ya ndoa na familia
2. Walemavu na wazee
3. Malekebisho ya tabia ya watoto waliokinzana na waliokutana na sheria
#ChukuaHatua@maendeleoyajami
Tukiwa na Hakimu wa mahakama ya mwanzo ambae ni mkazi wa #kifura (Emakulata shuli) uku akielezea haki ambazo anasitahili kupata mwanadamu bila kunyanyaswa na kw kutoangalia kabila la mtu , cheo , wara utajiri. #chukuahatua.
Rais @MagufuliJP usiku huu ameeleza kufurahishwa na ushindi ambao Timu ya Taifa, Taifa Stars, imeupata dhidi ya Uganda Cranes. Amewapongeza wachezaji kwa kujituma kupata uahindi huo.
Mhe. Rais Magufuli leo Machi 25, 2019 atakutana na wachezaji wa Taifa Stars, Viongozi wa TFF, Kamati ya Uhamasishaji na Bondia Hassan Mwakinyo Ikulu DSM. Atawapongeza na kula nao chakula cha mchana. Tukio litarushwa Live! na Redio, Televisheni na Mitandao kuanzia saa 4:00 asubuhi
Makongamano na mijadala mbalimbali katika jamii ni Muhimu sana katika kujenga uelewa wa pamoja. Viongozi wa ngazi mbalimbali ikiwemo mahakama wanakuwa na mengi ambayo wanatamani watu wajue, shida ni namna ya kukutana na wananchi. @OxfamTz#chukuhatua
Leo Jijini Dodoma nimekutana na Makatibu Tawala wa Mikoa -Bara pamoja na wataalamu wa Wizara ya Maji na Ofisi ya Rais TAMISEMI kujadili Wakala ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) pamoja na huduma ya maji nchini kwa ujumla.
Hatua ya ujenzi iko inaanza ofisi ya walimu pamoja na chumba cha darasa kimoja s/msingi Kanyinya wilaya #Kibondo walimu amekuwa wakihangaika kutumia ofisi hiyo ya nyasi kwa mda mulefu hongera @save_children#chukuahatua waziri wa Elimu joyce Ndarichako
@MagufuliJP
#Habari:Watu watatu wilayani Muleba,mkoani Kagera akiwemo mwenyekiti wa serikali ya kijiji cha Rutoro katika kata ya Ngenge, wamekutwa wakitengeneza vitambulisho bandia vinavyofanana na vile vinavyotolewa na serikali vya kuwatambua wafanyabiashara wadogo.
#Habari:Wataalamu wa nyuki Tanzania wamesema nyuki wachavushaji wa mimea wako hatarini kutoweka hapa nchini kutokana na athari za mabadiliko ya tabianchi na wakulima kutumia kemikali za viwandani msimu wa kilimo.