Mhe.Tundu Lissu Amewasili Mji Wa Houston Atafanya Mkutano Na Watanzania Waishio Maeneo Ya Houston, Las Vegas, Los Angels, Nevada, San Francisco, Carlifonia Na Maeneo Jirani Leo Kuanzia Saa 10 Hadi Saa 12 Jioni Mkutano Huo Utafanyika OMN Houston Hotel. 13210 Katty Freeway, Houston
Serikali iliyoji ‘mwambafy’ kununua Korosho na kubangua zote hata ikibidi kugaiya Wananchi imetapeliwa kishamba na kampuni iliyopeleka order Alibaba. Serikali yenyewe kupitia Bodi ya Mazao ingeweza weka Alibaba Korosho zetu bila kupita kwa dalali. @MagufuliJP UMETUAIBISHA sana
@Tz_Kwanza Tundu Lisu hajawahi kuchafua taswira ya nchi hata siku moja,hua anazungumzia serikali ya hovyo iloyopo madarakani,ambayo haitaki kurekebishwa na inapenda ruahwa.
Mh. Tundu Lissu akiongozana na mke wake Alice Lissu wamekutana na Watanzania waishio maeneo ya Washington, DC.
Mh. Lissu ameongelea mengi yanayo husu ukiukwaji wa Haki za Binadamu, Uraia pacha, shambulio lake la kupigwa risasi 38 na 16 zikiingia mwilini mwake; na kutoa shukrani.
Stockholm Syndromes: Maana yake Mateso na kabata, yani mtesi amekuteka unateseka sana lakini kwa kuwa wanakupa Chakula kidogo unavumilia! 😂😂😂 wakija kukuokoa wenzio hutaki unabaki kwa mtesi wako! @zittokabwe@aeyakuze@MariaSTsehai@fatma_karume@ChangeTanzania
@halimamdee@johnmallya9 Kuepuka haya,inabidi uwepo utaratibu wa chama husika kuteua mbunge wa kukaimu,mpaka uchaguzi ujao.Hii ni kwa sababu jimbo liko tayari kwa chama, ambacho wananchi walishapigania kwa gharama hizo zote.
Uko sahihi..Hapa nimeweka za TUME ya UCHAGUZI tu. Kwamba ililazimu PESA za ziada zitolewe HAZINA ambazo zilikuwa zimepangwa kufanya MATUMIZI, zihamishiwe FUNGU la TUME ili chaguzi zifanyike.
Kampuni HEWA isiyo na Ofisi, wanasheria, akaunti ya Benki, wakaguzi nk inaingia mkataba wa kununua Korosho za zaidi shs 400bn na Serikali inayojipambanua kupambana na ufisadi https://t.co/jMmGkBwwjS ! Mbele ya Waziri Palamagamba Kabudi! @cecil_mwambe@Nnauye_Nape Jumapili njema
Tunakumbuka Tegeta Escrow mlisema eti utoaji wa fedha ulikuwa halali ingawa tuliwatahadharisha ni upigaji. Richmond tuliambiwa eti tuache makelele alomuradi umeme umepatikana. Sasa eti tulie tu korosho zimeuzwa hata kama kampuni hewa
Harufu ni ileile tunaitambua
#ChangeTanzania
Mtoto:- Hivi baba ukubwa au udogo wa mbegu ndio unaoonyesha uharaka wa kuota na kukua kwa mmea??
Baba:- Ndio mwanangu, ukuaji wa mbegu ya mchicha na mbegu ya mkorosho haifanani. Mchicha huota haraka na kutumika na kwisha, mkorosho huchelewa lakini hudumu muda mrefu na ni imara!
https://t.co/VaU74QrWmR
President Julius Nyerere, 1974 📸 Ozier Muhammad
" #Tanzania was considered the ideal in Africa because of the leadership of Julius Nyerere. He was Mandela before Mandela became the leader of South Africa. He was a man of the people.” #ChangeTanzania
Such an honor to host @TunduLissu at @IAfS_GWU this week. A courageous champion for human rights and democracy, and passionate about Tanzania's future. And he hasn't lost his sense of humor, despite all he's gone through. @ESIAGrad@ElliottSchoolGW
Mh Tundu Lissu anawakaribisha wana Diaspora wote wa maeneo ya Washngton DC , Virgnia , MarryLand Kwenye Mkutano wa Watanzania wote kuhusu Tanzania. https://t.co/K1BCU3H4Nk