Uchumi wetu unasinyaa na Serikali inatumia nguvu kurekebisha hali. Sekta nyingi za Uchumi zimetikisika kwa zaidi ya 50% isipokuwa labda sekta ndogo ya usafirishaji. Hakuna biashara na mzunguko wa fedha mdogo licha ya kero za watendaji wa Serikali. Hofu tupu!
Unapokuwa na Hazina ya nchi ambayo inatunza Hesabu kwa MS EXCEL Spreadsheets andika maumivu. Silinde alisema Bungeni kuwa mtu wa kwanza kushtakiwa kwa kutapanya hazina yetu ni Katibu Mkuu Hazina wa sasa. Itakuwa Hazina hii shaghalabaghala ndio inatoa hizo hela kwa Mutembei
Gazeti la @The_EastAfrican limeonyesha kuwa Kampuni iliyonunua Korosho za Tanzania kutoka Serikalini ni HEWA na haijulikani pesa zili/nazotumika zimetoka wapi. CCM ile ile. Ujanja ujanja ule ule.Serikali ile ile. Wizi ule ule. Mbunge @cecil_mwambe alihoji Bungeni, Ipo Power Nani?
@zittokabwe@The_EastAfrican Asiyesikia la Mkuu, Mpaka Mh Raisi @MagufuliJP asemw ndipo watendaji wafanye, leo tunagaeuza muswada wa maswala ya madini, kwa mwendo kasi
Mh Raisi anaoenda uwazi, @MagufuliJP ,
Mwambieni izo korosho mumeuza kwa sh ngapi, mpaka sasa gharama ni sh 3,850 kwa kilo.
Cha msingi ni kulipa wenye korosho wote.
@zittokabwe@MariaSTsehai@HaongaHon
Mh Raisi @MagufuliJP , umetoa maelekezo leo juu ya maswala ya Korosho, viongozi wako unaowatuma kusimamia wanakudanganya, fika mwenyewe uongee na wakulima kama ulivyofanya kwenye tasnia ya madini.
Leo kamati ya Kilimo imekataa taarifa ihusuyo zao la korosho kwa ubabaishaji wa waz