Angekuwepo Magufuli upumbavu na ujinga huu anaoufanya January Makamba usingekuwepo. Anafanya huu upuuzi kwa kuwa ana watu ndani ya CCM wakiongozwa na Kinana wanamlea na kumtetea kwa kuwa ni wanufaika wa rushwa anazofanya kwenye hii wizara.
Ndoto za kuutaka urais wa Tanzania zinampa mateso sana. Huyu ni wazoro ambaye anaitoa nchi kwenye giza kila siku na kuna mgao wa kinya kimya ambao hawausemi. Anaacha kukaa ofisini kutatua changamoto za kukosekana kwa umeme lakini anaona ni bora muda huo atumie kwenda kuwatembeza maaskofu anaowaaminisha kuwa yeye ni mkristo toka utotoni na anafuata dini ya mama yake.
Kama kigezo ni kupeleka viongozi wa dini , wako wapi masheikh? Au viongozi wa madhehebu mengine? Au ndiyo kampeni ya kubadili dini imepamba moto sana. Huwezi kuutaka urais kwa kubadili dini au huwezi ukawa kiongozi wa nchi kwa kubadili dini. Hiyo haiwezekani na haitakaa iwezekane kutokea Tanzania.
Tunajiuliza January Makamba anatoa wapi hela za kuwapa kundi lote hili la viongozi wa dini wa kikristo 5m TZS kila mmoja kama posho kwa kufanya ziara hii? Isitoshe anawatamkia kuwa hii ni rasharasha tu mambo mazuri yanakuja kuanzia 2027?
Tunajua analindwa na majitu mafisadi kama Kinana hilo hakina ubishi na ndiye anayemkingia kifua kwa kuwa anamhusisha kwenye mambo yake ya kukwapua hela wizarani na ndiyo god father wake. Lakini inasikitisha sana January Makamba ana watu ndani ya vyombo vya usalama vya nchi na ndiyo wanaompa taarifa zote za siri zinazomhusu na wako kwenye payroll yake. Tunawajua kwa majina(muda utaamua kuwasema), kama January anaweza shirikiana na kulipa watu ndani ya vyombo vyetu wa usalama ili kudhuru watu ikiwemo kuwapa sumu watu , anawezaje kutakaswa na viongozi wa dini kwa hizi sinema zake?
Bwawa na Nyerere mwenye kupewa sifa ni Magufuli na waziri wa nishati aliyepita na kwa vyovyote vile January Makamba huwezi kujitapa kuwa hiyo ni kazi yako na juhudi zako. Tunajua unatumia kila mbinu kujiaminisha na kujimilikisha huu mradi maana mpaka mvua ikinyesha unasema ni mafanikio yenu. Mvua kunyesha na kujaza bwawa yanakuwaje mafanikio yako?
Vyombo vyetu vya usalama vipo na vinaona haya yote na mko kimya kwa kuwa watu wenu wako kwenye pay roll ya huyu bwana. January anatoa wapi hela ya kuchangia makanisa Tanzania nzima hata kama hawajaomba msaada anapeleka 20m TZS kama kiwango cha chini kabisa! Vyombo vya usalama mtu huyu mnamuona? Mbaya zaidi anatumia vijana wenu kufanya haya mambo na kusambaza hizi fedha huko kwenye makanisa.
Mtu anayetumia fedha, uchawi na uganga, kuuwa watu na kuwapa watu sumu ili awe Rais wa nchi hafai hata kidogo. Ni ajabu yuko kwenye uwaziri mpaka sasa lakini CCM tunawangojea kwa hamu sana hiyo 2030
#KigogoMediaUpdates
Done! Lakini haijawahi kuwa rahisi kumshawishi mtu kuingia kwenye ajira anayoiogopa. Mara nyingi watu huogopa kwa sababu ya kuwa na taarifa zisizo sahihi. Kwa mfano "hao watu wa Usalama ni wauaji." Well, some are ☺️ but sio wote, and the job itself is not about killing people
@MahembeFredy@inno_municy@KilfredMgen @jerrysonmosses @hezronwellus Ukienda kujaza mafuta unapack pembeni ya sheli na hazard juu kusubiri wenye magari yao wajaze nawe ujisogeze. Ukifika unaongea kwa sauti ya chini "samahani dada niwekee ya 5,000" huku unapepesa macho. Sasa Ole wake asikusikie