I keep buying more Gold, Silver, & Bitcoin because our leaders want more war and poverty. Work hard, spend wisely, and save gold, silver, and Bitcoin. Our leaders don’t care.about you. So you please take care of you and the people you love.
Blockchain technology ni nini?
Blockchain technology ni njia ya kustore na kushare data kwa kutumia computers network
Ambazo zinakuwa connected na cryptography, Kama njia za kusecure na kuverify taarifa.
Tumeona vitu 3;
• Blocks
• Chains
• Cryptography
Ni vitu gani hivi?
Neno Blockchain linatokana na maneno mawili, blocks and chains
Block ni kipande tu Cha data kinachobeba taarifa ni nani katuma na kupokea miamala lini na kiasi gani
Chain ni mpangilio wa hizo blocks, zinakuwa linked na mathematical code ijulikanayo kama Hash.
Sasa utaniuliza hash ni Nini?
Hash ni kama fingerprint ambayo inatambulisha Kila block na taarifa zake.
Mpaka hapo huenda hujaelewa, ngoja nikupe mfano huu
Fikiria kuhusu kitabu Cha kutunza taarifa ambacho hutumiwa na watu wengi hakiwezi kufutwa Wala kubadilisha
Na Kila page kwenye hicho kitabu ni block.
Na Kila block Ina numbers na code ambazo ziko connected na pages za nyuma
Na Kila mtu anaweza kuandika kwenye hicho kitabu kama atafuata sheria na waandishi wengine
Kwahiyo, kitabu kipo wazi kw Kila mtu
Hakuna mtu wa kudanganya kitu ooote
Umepata kitu? Unaweza ongezea kitu Kwa urahisi zaidi?
Comment...
@DrAlbertDaudi @VodacomTanzania@Haloteltz ni pumba nyingine imejificha kwenye kichaka cha mtandao bora wa mawasiliano upiga simu customer care hawapokeagi unakufa na shida zako 💔
Kuna Muda Wazazi Hawatakuelewa...
Kuna Muda washkaji zako wa Karibu Kabisa watakukataa...
Kuna Muda Hata jamii itakuona umeshapoteza
LAKINI...
Huo Ndio Muda Sahihi wa Kuwashangaza
Hiyo Ndio GHARAMA ya Kufika Juu Kwenye Kilele Cha Ndoto zako!
Most Successful Hedge fund Traders, Managing over seven figures $10,000,000
Their Success in Trading depends on having Mental Skills of Life balance outside of trading
Here is the list of 7 books recommended for building a better Life-Trading Mindset
Here is a list..THREAD 👇🏽