Hii siku ilikiwa ngumu sana😭, tulitarajia mwamba angeachiwa kwa "No Case To Answer" lakini haikuwa hivyo.
Hata hivyo tulisema hakuna kukata tamaa....siku moja CHADEMA itaiongoza hii nchi yetu(TZ) na kila mtanzania ataishi maisha bora yenye haki na furaha.✌️💪
Mungu ibariki CDM
@DrKessyJulius1@TitoMagoti kuna namna atakaangwa, kuwa shahidi wa Lissu sio kwamba anaenda kumtetea Lissu, kuna maswali ataulizwa kama mmiliki wa Jambo Tv ambapo mmoja wa wafanyakazi wake ametumika kama shahidi wa serikali
Kuna Video ya Devin Jatho pale Youtube kama unataka kugrow IG for personal brands na biashara ipitie ni nusu saa tu japo imekaa kizungu zungu sana ila ina vitu utanasa. #MadiniYaGaby
@Positivenga1 Personally Nadhani shida kubwa ni kutegemea ku survive kwa kutegemea project tunazotamani zikue siku moja ziwe kubwa. The same project ikupe chakula, mavazi na kodi alafu ikue ni kazi kweli, inabidi kuwa na kiproject cha kukulea wakati unakuza hii kubwa
How many hours per night do you sleep?
ARE YOU IN THE SAFE ZONE? ❓❓❓
I sleep usually about 6 hours, 8 if I'm lucky. 👍 Unless I'm stressed...then I get about 4.