@mchiziMonie Jamaa yangu ambae nilipokua dar kabla ya kutoka kariakoo kwenda Masikani Kiwalani tulipozeka kwake kusubiri foreni ipungue,,nimetoka dar Mwaka sasa ananipigia anashida na laki 2½ nikamwambia Sina akaniomba sana nikampa laki alisema sku 3 anarejesha leo wiki ya nne hajibu text.

@BesteNicolas Bora wewe week master!!
Mimi niliambiwa siku hiyo hiyo"damu yako Kali hii nimba kabisa"
Mtu akaanza kugaragara chini masaa mawili,,shukuru Mungu Aisha ni mwema,,,,
@DadaEstie Ni gharama kiasi na Mara nyingi vifaa vijana hawana hadi kuagiza Alibaba au Amazon hivyo ukitaka tufanye kazi andaa laki nne na sabini tuagize kifaa ( nakuhakikishia tutavunja password yoyote hata ya Dodoma)
@TwevePauLo Mda sana na nilifuatilia smoothly bila yeye kujua nilipo jiridhisha nikamuuliza majibu yakafanana
Nilipomwambia alinicheka mixer kuambiwa utakuja ufe!!