Kwako @TunduALissu .Wananchi tunakuombea uwe na uwezo wa ku blockout the noise na ku-stay focused.
.
Wewe ndio aina ya kiongozi aliehitajika at this very moment.
.
Hatma ya Chadema iko mikononi mwa wananchi wa kawaida. You have our full support kwenye no reforms no elections.
@CatherineRuge@jjmnyika@TunduALissu Bado hujasema, hiki chama siyo saccos ya wachache ni chama Cha wananchi, Lissu piga kazi sisi tunaendelea na tonetone