Samia anadili na waharifu tu mwanzo mwisho
-- Wawekezaji ni waharifu
-- Wateule ni waharifu
-- IKULU ameweka msimamzi wa IKULU mtu hatari na asiye na vigezo
Haya yanatokea sababu ya tamaa za watu wachache
Haya ni madili, sekta ya Nishati siku zote imekuwa na tuhuma nyingi ila hii ya Adani itakuwa mbaya kuliko ya Singa singa
@godbless_lema Njaa ni tiba sana. Magonjwa sugu yote hutibiwa na njaa.
Mimi tatizo ni kukosa mbadala asilia ili kuweza kumudu haya mafundisho bila gharama za ziada.
@PMadeleka Huu mkataba lazima unao kipengele kengine kinachoipa Yanga an ace kwenye hii dispute. Mob mercy imeshaprove haitafanikiwa. Na pia hii isipotayuliwa vizuri hakuna kilabu bongo kitabaki na mchezaji. Imagine Dube nyuma kidogo angekuwa amejazwa ujinga kama Fei angekuwa wapi leo.
Kuhamisha shughuli nyingine za bandari Dodoma ni dalili ya tatizo kubwa zaidi. Ufanisi wa shughuli nyingi umeathirika sana na ofisi kuhamia Dom bila mpango thabiti (km kimtandao) wa kuhakikisha shughuli hazicheleweshwi. Km mara nyingi inabidi kusafiri hadi Dom kupata kibali tu