@OfficialFad18 @mbeyauniversity Sasa IFM paper linaweza likawa rahisi na usitoboe maana muda wa kusoma mjini hakunaga ni tungi bata pisi... UE inakuaga ngumu saaaana
@VodacomTanzania mnaunga watu na huduma bila wao wenyewe kufanya WTF... Naamka nimekuta nimejiunga na Chekecha ndio nini?
So nisingeona txt mngekua mnanikata kila mwezi. Badilishemi mfumo huo umekaa kiwizi. Imhotep