"Dkt. Samia Suluhu Hassan ametimiza mambo makubwa ambayo Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere aliyatamani lakini hakuweza kuyafanya." - Profesa Palamagamba Kabudi kwenye kampeni za CCM mkoani Mbeya
Burkina Faso’s unelected transitional parliament has passed a pill criminalising same-sex relationships. It would be punishable by up to five years in jail and fines. Foreign nationals caught breaking the law could also be deported.
https://t.co/kTSRSNEArg
Ile Millitary parade ya China ni next level.
Mchina amekataa Unyonge...nimejaribu kuangalia kuona labda kuna mtu atapiga vichwa mawe na matofali sijaona.
Hayo ndiyo maneno sasa. Yale mambo ya KUZUIA UCHAGUZI yalikuwa SIYO. Mtu apelekewe FOMU GEREZANI, ASHINDE ili aje alete “REFOMU”. Pokea 🌹💐🌷yako kwa UAMUZI huo 👇 wa KIJASIRI na KIZALENDO.😂😂
👕 Jezi bora kuanzia ubunifu hadi namna ilivyotengenezwa imefika. Hii haijawahi kutokea Afrika Mashariki na Kati.
Saa 5:00 asubuhi tutazindua jezi na muda huo zitaanza kuuzwa kwenye duka la Vunja Bei Sinza Madukani. #SimbaNaVunjaBei#SimbaWeek#SimbaDay#SimbaDay2022#NguvuMoja
Leo Tarehe 28 Julai 2022 Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imewafutia mashitaka washitakiwa 3 kati ya 27 katika kesi ya MAUAJI inayowakabili wakazi wa LOLIONDO. Jamhuri imesema HAINA NIA ya kuendelea KUWASHITAKI watuhumiwa hao 3.