NAMSHUKURU BONGO ZOZO KWA MAONI NA USHAURI WAKE MZURI WA KIZALENDO NA UPENDO NA MAARIFA. TUNGEMSIKILIZA TUNGEPIGA HATUA KATIKA MENGI IKIWEMO KUMUACHIA TUNDU LISSU ILI KULILETA TAIFA PAMOJA. WE NEED TO MOVE ON.
Mwandishi wa habari ALOYCE NYANDA anashikiliwa katika Kituo cha Polisi Bugarama (Kata ya Bugarama kijijini Ilogi) Geita. Walimkata jana huko Kakola. TUHUMA: Kufadhili kikundi kiitwacho "Tanganyika Freedom Fighters (TFF)."
Muda wowote kuanzia sasa atapelekwa Dodoma. Msaidieni
Kwa nini kila mara.tunaongelea Oktoba 29 tu kana kwamba mauaji yalifanyika siku moja tu wakati wa maandamano? Mauaji hayakuendelea.katika siku zilizofuata bila hata harufu ya maandamano?
Napenda kuwajulisha umma na wote wenye mapenzi mema kwa Tanzania, Chadema na Mwenyekiti Tundu Lissu kuwa Jopo Mawakili la kumtetea na kumfanyia utafiti Mwenyekiti Lissu li imara kabisa. Kwa niaba ya Chadema ninapenda kuwashukuru mawakili na wanasheria wote waliojitolea muda wao, taaluma yao, rasilimali zao na mshikamano katika kumtetea Mwenyekiti Lissu. Mmeonyesha kuwa mu marafiki wa kweli katika vita dhidi ya Mamumiani na mafisadi wa demokrasia ya kweli katika nchi yetu.
Katika harakati tunazoendesha tofauti lazima zijitokeze na hata kutiliana mashaka. Msikatishwe tamaa hata mara moja tusonge mbele kwa pamoja. Kama mjuavyo sasa tumepeana mwongozo wa namna ya kutoa taarifa zimuhusuzo Mwenyekiti Tundu Lissu. Taarifa hizo zitatolewa na uongozi mkuu wa chama, Mwanasheria Mkuu na Mkurugenzi wa Sheria baada kushauriana na Mwanasheria Mkuu.
Jopo la Mawakili wa Mwenyekiti Tundu Lissu ni hawa wafuatao:
Orodha ya mawakili:
1. Mpale Kaba Mpoki
2. Dr Rugemeleza Nshala
3. Peter kibatala
4. Jeremiah Mtobesya
5 Hekima Mwasipu
6.Gaston Garubindi
7. Jebra Kambole
8. Deogratius Mahinyila
9. Paul Kisabo
10.Sisty Aloyce
11. Nashon Nkungu
12.Catherine Michael
13. Ikoti Lissu
14. Emanuel Chengula
15. Gloria Ulomy
16. Deus Singa
17. william Maduhu
18. Fredinand Makore
19.Jacob Mogend
20. Dorice Kafuku
21. Michael Mwangasa
22. Pastory Kong’oke
23. Matojo Cosata
24. Mzee Alute Mughwai Lissu.
25.Dickson Matata
26. Edward Heche
27.Maria Mushi
27. Selemani Mohamed Matauka
28.Michael Lugina
29. Melchiory Sanga
30. Edson Kilatu.
Naomba tuwatie moyo Mawakili hawa wote na tusonge mbele kwa pamoja na kwa moyo mmoja (tiyende pamodzi, ndi mtima umodzi) kama Mzee Kenneth Kaunda alivyotufundisha.
Aluta continua Vitoria e certa!
Tume ya Chande sio huru coz;
1. Imeteuliwa na mtuhumiwa no.1
2. Imejaa maafisa wa gavoo pekee
3. Watendaji wake wameteuliwa kwa siri na ni wa2 wa gavoo
4. Makundi mengine ya kijamii yameachwa
5. Wajumbe wanamgongano wa kimaslahi
6. Haina kanuni za muongozo n.k
Acheni propaganda
Several months back, Museveni’s brutal son posted that, "......Besigye will only leave prison in two ways. Either in his coffin after we hang him or shoot him or on his knees apologising to Mzee [Museveni]."
Yesterday, Dr. Besigye and his colleague Hajj Obeid Lutale's fourth bail application was denied! Cry beloved country. The judiciary, like all other institutions, has been completely emasculated. We have an opportunity to press the RESET BUTTON on our country in 16 days and put an end to this suffering.
#FreeKizzaBesigye
#FreeUgandaNow
Waheshimiwa na waishiwa hawawezi kukubaliana kuhusu amani na haki. Waheshimiwa wanang'ang'ia amani maana ni zao la wao kumiliki haki. Waishiwa hawana amani kwa sababu hawana haki. Amani kwa wote hutegemea haki kwa wote.
Ninapenda kumpongeza Mheshimiwa Tundu Lissu kwa kuteuliwa kuwania Tuzo ya Amani ya Nobel, hatua hii ni heshima kubwa si kwake binafsi tu bali pia kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Kwa sasa, kutokana na msimamo wake, ujasiri na mapambano ya haki, inawezekana kabisa akawa ndiye mwanasiasa bora barani Afrika kwa mwaka 2025.
Kumchangia kiongozi aliyekaa mahabusu karibu mwaka mzima na kunyimwa uhuru wa kufanya shughuli ya kuingiza kipato ni kitendo cha kiungwana na kizalendo.
Unapoanza kukua , unaanza kuelewa baba yako alikuwa tu mwanamume pia anayejaribu kadiri ya maarifa aliyokuwa nayo kupambana na maisha. Msamahe , kwani pia alikuwa akiishi maisha kwa mara ya kwanza.
Bado nasoma jumbe zenu za goodwill wakati mnanipambania nikiwa matatizoni.
Kwa kweli ni nyingi.
Mimi ni mtu mzima na jasiri, lakini baadhi ya jumbe zenu zinanitoa machozi
Ni kama nasoma wasifu wangu kwenye msiba wangu mwenyewe.
Asanteni sana
Siwezi kuwashukuru mmojammoja
Hawa ndugu zetu, sidhani kama tutawaona tena, labda sisi wananchi tuwatafute watekaji kwa bidii bila kuchoka, basi angalau watupe mifupa yao. Lakini siku inakuja ambako kila lililo tendeka gizani litafurumiwa hadharani.