Ensuring Good health and wellbeing by raising Awareness, providing Education and Advocacy for key health Issues in Tanzania. We are open for partnerships.
Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) leo tarehe 1 Novemba, 2023 imeshiriki kwenye Kongamano la Magonjwa yasiyoambukiza lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili. Kongamano linafanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaaam.
Kongamano hilo la siku 3, linalenga kuimarisha Ushirikiano wa Kikanda katika Sera, Utafiti na ubunifu kwa ajili ya kuzuia, kufuatilia na kudhibiti magonjwa yasiyoambukiza, linatarajia kuhitimishwa siku ya Ijumaa tarehe 3 Novemba, 2023 amabapo watafiti kutoka NIMR wanawasilisha mada mbalimbali kuhusu Magonjwa hayo na kushiriki katika majadiliano na wataalamu wengine kutoka taasisi mbalimbali.
#Wizara ya Afya#Afya bora#magonjwa yasiyoambukiza#
Deputy PS MoEST, Prof. James Mdoe grace the Opening Ceremony of the 4th National NCDs Scientific Conference on 10/11/2022,Mwanza with the theme 'Enhancing Scalability and Sustainability of Preventive and Integrated, Accessible, Quality Non-communicable Diseases Care in Tanzania'.
mdh_tanzania cordially invites you to a #THS2022 Symposium on HIV Drug Resistance in Tanzania; come and learn what it takes to achieve HIV epidemic control in Tanzania.
Location: JNICC, Ruaha Hall
Date: Thursday 13, October 20222, 1200pm
@TzHealthSummit@CdcTanzania
TMDA pamoja na kuhakikisha ubora, usalama na ufanisi wa dawa nchini, kwa sasa inatumika kama kitovu cha mafunzo na kusaidia pia nchi nyingine za Afrika kuwajengea uwezo katika maabara za udhibiti kwa lengo la kuimarisha usalama wa dawa Barani Afrika.
.@AfricaHealthFed attended the recently concluded 11th #EAHFConference2022, which was organized by the
@UgHealthcreFed & took place from September 28–30 in Kampala, Uganda. The conference focused on how regional states may integrate private players into the #health system.
ABOUT THE HIV/AIDS WORKSHOP IN EARLY OCTOBER
🤝Our partner is IAS-the International AIDS Society.
📍Dar es Salaam, Oct-11-13, at JNICC
Advocating a world where HIV no longer presents a threat to public health & wellbeing.
#THS2022 register https://t.co/HStxegMo3A
Second Place Winners among the Top 13 startup in Southern African Countries
Such an honor to represent Tanzania 🇹🇿 and my Best team of Dawa Mkononi @daktarimkononi Thanks for the support @bunihub dyring the whole process 🙏🏽 🔥🚀
Huduma za kibingwa za Taasisi ya tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) zimeanza kutolewa katika hospitali mpya na ya kisasa ya rufaa ya kanda kusini Mtwara ambapo kwa mara ya kwanza historia imeandikwa kwa mgonjwa wa kwanza kufanyiwa upasuaji katika hospitali hiyo. @ummymwalimu
I train/teach individuals or groups of people, workers, company staffs, special groups, & other groups of people about health & strategies for improving their health.
I also welcome invitations to take part in television & radio sessions, podcasts, and health-related talk shows.
Kutoka Kagera
Katibu Mkuu,Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi leo amefika Mkoani Kagera ikiwa ni ziara ya kikazi ya kuona utayari wa Mkoa huo katika kukabiliana na ugonjwa wa Ebola .
Pichani Prof. Makubi akiwa na Katibu Tawala wa Mkoa huo Bw. Toba Nguvila.
World Rabies Day, “One Health, Zero Death” we can make it possible by developing a habit of ensuring the health of Animals especially through #vaccination. @kajiru@WHO@IPHKCMUCO